1 Wakorintho 1:9
Mungu ni mwaminifu; yeye aliwaita ninyi muwe na umoja na Mwanae Yesu Kristo Bwana wetu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
God is faithful, by whom ye were called unto the fellowship of his Son Jesus Christ our Lord.
In Context
8Yeye atawaimarisha ninyi mpaka mwisho mpate kuonekana bila hatia Siku ile ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Cross References
Matthew 24:35Naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
John 17:21Naomba ili wote wawe kitu kimoja. Baba! Naomba wawe ndani yetu kama vile wewe ulivyo ndani yangu nami ndani yako. Naomba wawe kitu kimoja kusudi ulimwengu upate kuamini kwamba wewe ulinituma.