1 Wakorintho 10:12
Anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore let him that thinketh he standeth take heed lest he fall.
In Context
Cross References
Matthew 26:33Petro akamwambia Yesu “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.”
Romans 11:20Sawa! Yalikatwa kwa sababu ya kukosa imani, bali wewe unasimama kwa imani yako. Lakini usijivune; ila uwe na tahadhari.
1 Corinthians 8:2Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.
Revelation 3:17Wewe unajisema, Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote. Kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!