The Bible Software
bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 10 › 1 Wakorintho 10:13

1 Wakorintho 10:13

Hakuna jaribu lolote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Naye Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita mnavyoweza. Lakini mnapojaribiwa atawapa njia ya kutokea ili mweze kustahimili. 1 Karamu Za Sanamu Na Meza Ya Bwana

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There hath no temptation taken you but such as is common to man: but God is faithful, who will not suffer you to be tempted above that ye are able; but will with the temptation also make a way to escape, that ye may be able to bear it .

In Context

12Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.

14Kwa hiyo wapenzi wangu, zikimbieni ibada za sanamu.

Read all of 1 Wakorintho 10

Cross References

Exodus 3:17Nami nimeahidi kuwapandisha kutoka mateso yenu katika nchi ya Misri, niwapeleke nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, nchi itiririkayo maziwa na asali.’

1 Samuel 29:10Sasa amka mapema, pamoja na watumishi wa bwana wako waliofuatana nawe, nanyi ondokeni asubuhi mara kutakapopambazuka.”

Psalms 89:33lakini sitauondoa upendo wangu kwake, 2 wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe. 1

Psalms 125:3Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi 2 waliopewa wenye haki, 1 ili wenye haki wasije wakatumia 2 mikono yao kutenda ubaya. 1

Isaiah 25:1Ee Bwana, wewe ni Mungu wangu, 2 nitakutukuza na kulisifu jina lako, 1 kwa maana katika ukamilifu wa uaminifu 2 umetenda mambo ya ajabu, 2 mambo yaliyokusudiwa tangu zamani. 1

Jeremiah 12:5“Ikiwa umeshindana mbio na watu kwa mguu na wakakushinda, 2 unawezaje kushindana na farasi? 1 Ikiwa unajikwaa kwenye nchi ambayo ni salama, 2 utawezaje kwenye vichaka kando ya Yordani? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Wakorintho 10:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Wakorintho 10:121 Wakorintho 101 Wakorintho 10:14 →