1 Wakorintho 10:15
Naongea nanyi, watu wenye busara; jiamulieni wenyewe hayo nisemayo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I speak as to wise men; judge ye what I say.
In Context
14Kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Cross References
1 Corinthians 6:5Aibu kwenu! Ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?
1 Corinthians 11:13Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani?
1 Thessalonians 5:21Pimeni kila kitu: zingatieni kilicho chema,