The Bible Software
bible.software1 Wakorintho1 Wakorintho 10 › 1 Wakorintho 10:21

1 Wakorintho 10:21

Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani pia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye cannot drink the cup of the Lord, and the cup of devils: ye cannot be partakers of the Lord’s table, and of the table of devils.

In Context

20La hasha! Lakini kafara za watu wasiomjua Mungu hutolewa kwa mashetani, wala si kwa Mungu. Nami sitaki ninyi mwe na ushirika na mashetani.

22Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye? 1 Fanyeni Yote Kwa Utukufu Wa Mungu

Read all of 1 Wakorintho 10

Cross References

Deuteronomy 32:37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, 2 mwamba walioukimbilia, 1

Isaiah 65:11“Bali kwenu ninyi mnaomwacha Bwana 2 na kuusahau mlima wangu mtakatifu, 1 ninyi mnaoandaa meza kwa ajili ya Bahati, + 65:11 Bahati alikuwa mungu wa Wakaldayo ambaye pia alijulikana kama Gadi. 2 na kujaza mabakuli ya mvinyo uliochanganywa 2 kwa ajili ya Ajali, + 65:11 Ajali au Meni alikuwa mungu wa majaliwa. 1

1 Corinthians 8:10Kwa maana kama mtu yeyote mwenye dhamiri dhaifu akiwaona ninyi wenye ujuzi huu mkila katika hekalu la sanamu, je, si atatiwa moyo kula chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu?

2 Corinthians 6:15Kuna mapatano gani kati ya Kristo na Beliari? + 6:15 Beliari hapa ina maana ya uovu, kutokumcha Mungu. Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Wakorintho 10:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Wakorintho 10:201 Wakorintho 101 Wakorintho 10:22 →