1 Wakorintho 10:9
Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Neither let us tempt Christ, as some of them also tempted, and were destroyed of serpents.
In Context
8Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu ishirini na tatu elfu.
10Wala msinung'unike kama baadhi yao walivyonung'unika, wakaangamizwa na Mwangamizi!
Cross References
Hebrews 3:8msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,