1 Wakorintho 11:30
Ndiyo maana wengi kati yenu ni dhaifu na wagonjwa, na wengine kadhaa wamekufa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For this cause many are weak and sickly among you, and many sleep.
In Context
31Kama tungejichunguza wenyewe vizuri hatungeadhibiwa hivyo.
Cross References
1 Corinthians 11:32Lakini tunapohukumiwa na Bwana, tunafunzwa tuwe na nidhamu, ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu.