bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 12 › 1 Wakorintho 12:14
1 Wakorintho 12:14
Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For the body is not one member, but many.
In Context
13Maana sisi, tukiwa Wayahudi au watu wa mataifa mengine, watumwa au watu huru, sote tumebatizwa kwa Roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote tukanyweshwa Roho huyo mmoja.
15Kama mguu ungejisemea: “Kwa kuwa mimi si mkono, basi mimi si mali ya mwili”, je, ungekoma kuwa sehemu ya mwili? La hasha!
Read all of 1 Wakorintho 12
Cross References
1 Corinthians 12:19Kama sehemu zote zingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
Ephesians 4:25Kwa hiyo, acheni uongo. Kila mmoja anapaswa kumwambia mwenzake ukweli, maana kila mmoja wetu ni kiungo cha mwili wa Kristo.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 12:14