1 Wakorintho 12:18
Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But now hath God set the members every one of them in the body, as it hath pleased him.
In Context
19Kama sehemu zote zingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
Cross References
Luke 12:32“Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni Ufalme.
1 Corinthians 3:5Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni ninyi imani. Kila mmoja wetu anafanya kazi aliyopewa na Bwana.
1 Corinthians 12:24ambapo viungo vingine havihitaji kushughulikiwa. Mungu mwenyewe ameuweka mwili katika mpango, akakipa heshima zaidi kiungo kile kilichopungukiwa heshima,
1 Corinthians 15:38Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.