1 Wakorintho 12:20
Ukweli ni kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But now are they many members, yet but one body.
In Context
19Kama sehemu zote zingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
Cross References
1 Corinthians 12:14Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.