1 Wakorintho 12:26
Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. Kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi pamoja nacho.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
25ili kusiweko na utengano katika mwili bali viungo vyote vishughulikiane.
27Basi, ninyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.
Cross References
2 Corinthians 11:28Na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.
Hebrews 13:3Wakumbukeni wale waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao. Wakumbukeni wale wanaoteseka kana kwamba nanyi mnateseka kama wao.