1 Wakorintho 12:5
Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And there are differences of administrations, but the same Lord.
In Context
4Vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini Roho avitoaye ni mmoja.
Cross References
Acts 10:36Huu ndio ule ujumbe Mungu alioupeleka kwa watu wa Israeli, akitangaza Habari Njema iletayo amani kwa njia ya Yesu Kristo ambaye ni Bwana wa wote.
Romans 14:8maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana.
1 Corinthians 12:28Mungu ameweka katika kanisa: kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu; kisha ameweka wale wenye kipaji cha kufanya miujiza, kuponya, kusaidia; viongozi na wenye kusema lugha ngeni.