1 Wakorintho 13:10
Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But when that which is perfect is come, then that which is in part shall be done away.
In Context
9Kwa maana tunafahamu kwa sehemu na tunatoa unabii kwa sehemu.
Cross References
Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1
2 Corinthians 5:7kwa maana twaenenda kwa imani wala si kwa kuona.
Revelation 22:4nao watamwona uso wake na Jina lake litakuwa kwenye vipaji vya nyuso zao.