1 Wakorintho 13:5
Haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, haukasiriki upesi, hauweki kumbukumbu ya mabaya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth not behave itself unseemly, seeketh not her own, is not easily provoked, thinketh no evil;
In Context
4Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi.
6Upendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli.
Cross References
Numbers 12:3(Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)
Numbers 20:10Mose na Aroni wakakusanya kusanyiko pamoja mbele ya huo mwamba, naye Mose akawaambia, “Sikilizeni, enyi waasi. Je, ni lazima tuwatoleeni maji kutoka mwamba huu?”
2 Samuel 10:3wakuu wa Waamoni wakamwambia Hanuni bwana wao, “unadhani Daudi anamheshimu baba yako kwa kukutumia watu ili kuonyesha masikitiko? Je, Daudi hakuwatuma watu hawa kuchunguza na kuupeleleza mji ili kuupindua?”
Psalms 106:32Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Bwana, 2 janga likampata Mose kwa sababu yao; 1
Isaiah 3:5Watu wataoneana wao kwa wao: 2 mtu dhidi ya mtu, na jirani dhidi ya jirani yake. 1 Kijana atainuka dhidi ya mzee, 2 mtu mnyonge dhidi ya mtu mwenye heshima. 1
Jeremiah 18:18Wakasema, “Njooni, tutunge hila dhidi ya Yeremia; kwa kuwa kufundisha sheria kwa kuhani hakutapotea, wala shauri litokalo kwa mwenye hekima, wala neno la manabii. Hivyo njooni, tumshambulie kwa ndimi zetu na tusijali chochote asemacho.” 1