1 Wakorintho 13:9
Kwa maana tunafahamu kwa sehemu na tunatoa unabii kwa sehemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For we know in part, and we prophesy in part.
In Context
10Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka.
Cross References
Job 11:7“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1
Psalms 40:5Ee Bwana Mungu wangu, 2 umefanya mambo mengi ya ajabu. 1 Mambo uliyopanga kwa ajili yetu 2 hakuna awezaye kukuhesabia; 1 kama ningesema na kuyaelezea, 2 yangekuwa mengi mno kuyaelezea. 1
Proverbs 30:4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka? 2 Ni nani ameshakusanya upepo 2 kwenye vitanga vya mikono yake? 1 Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake? 2 Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia? 1 Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani? 2 Niambie kama unajua! 1
Romans 11:34“Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana? 2 Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?” 1
1 Corinthians 8:2Mtu yeyote anayedhani kwamba anajua kitu, bado hajui kama impasavyo kujua.
Ephesians 3:8Ingawa mimi ni mdogo kuliko aliye mdogo kabisa miongoni mwa watakatifu wote, nilipewa neema hii: ili niwahubirie watu wa Mataifa kuhusu utajiri usiopimika ulio ndani ya Kristo,