1 Wakorintho 14:14
Maana, nikisali kwa lugha ngeni roho yangu ndiyo inayosali, lakini akili yangu hubaki bure.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For if I pray in an unknown tongue, my spirit prayeth, but my understanding is unfruitful.
In Context
13Kwa hiyo, mwenye kunena lugha ngeni na aombe apate uwezo wa kuzifafanua.
Cross References
1 Corinthians 14:15Nifanye nini, basi? Nitasali kwa roho yangu, nitasali pia kwa akili yangu; nitaimba kwa roho yangu, nitaimba pia kwa akili yangu.