bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 14 › 1 Wakorintho 14:24
1 Wakorintho 14:24
Lakini, wote wakiwa wanautangaza ujumbe wa Mungu, akija mtu wa kawaida au asiyeamini, yote atakayosikia yatamhakikishia ubaya wake mwenyewe; yote atakayosikia yatamhukumu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But if all prophesy, and there come in one that believeth not, or one unlearned, he is convinced of all, he is judged of all:
In Context
23Basi, kanisa lote linapokutana pamoja, na wote wakaanza kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba ninyi mna wazimu?
25Siri za moyo wake zitafichuliwa, naye atapiga magoti na kumwabudu Mungu akisema: “Kweli Mungu yupo pamoja nanyi.”
Read all of 1 Wakorintho 14
Cross References
John 4:29“Njoni mkamwone mtu aliyeniambia mambo yote niliyotenda! Je, yawezekana kuwa yeye ndiye Kristo?”
1 Corinthians 2:15Lakini mtu aliye na huyo Roho anaweza kubainisha ubora wa kila kitu, naye mwenyewe hahukumiwi na mtu mwingine.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 14:24