1 Wakorintho 14:39
Hivyo basi, ndugu zangu, mnapaswa kuwa na hamu ya kutangaza ujumbe wa Mungu; lakini msimkataze mtu kusema kwa lugha ngeni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore, brethren, covet to prophesy, and forbid not to speak with tongues.
In Context
38Lakini mtu asiyetambua hayo, basi, mtu asimjali mtu huyo.
40Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.
Cross References
1 Corinthians 14:1Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu.
1 Corinthians 14:5Basi, ningependa ninyi nyote mseme kwa lugha ngeni lakini ningependelea hasa muwe na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, maana mtu mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha ngeni, isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua hayo mambo asemayo, ili kanisa lipate kujengwa.
1 Thessalonians 5:20msidharau unabii.