1 Wakorintho 15:55
“Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
O death, where is thy sting? O grave, where is thy victory?
In Context
56Ukali wa kifo hutokana na dhambi, nayo dhambi hupata nguvu yake katika Sheria.
Cross References
Acts 2:27kwa kuwa hutaiacha roho yangu katika kuzimu, wala kumruhusu mtakatifu wako aoze.