1 Wakorintho 15:7
Baadaye alimtokea Yakobo kisha akawatokea mitume wote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
After that, he was seen of James; then of all the apostles.
In Context
8Baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.
Cross References
Luke 24:36Wanafunzi wote wawili walipokuwa wakiwaambia hayo, Yesu mwenyewe akasimama kati yao, akawaambia “Amani kwenu.”
Acts 1:2mpaka siku ile alipochukuliwa mbinguni. Kabla ya kuchukuliwa mbinguni aliwapa maagizo kwa njia ya Roho Mtakatifu wale mitume aliowachagua.