1 Wakorintho 16:13
Kesheni, simameni imara katika imani, fanyeni kiume, kuweni mashujaa kuweni hodari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Watch ye, stand fast in the faith, quit you like men, be strong.
In Context
14Fanyeni kila kitu katika upendo.
Cross References
Joshua 1:9Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa. Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa Bwana Mungu wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.”
1 Samuel 4:9Tuweni hodari, enyi Wafilisti! Tuweni wanaume, la sivyo mtakuwa watumwa wa Waebrania, kama wao walivyokuwa kwenu. Kuweni wanaume, mpigane!”
1 Kings 2:2Akasema, “Mimi ninakaribia kwenda njia ya dunia yote. Hivyo uwe hodari, jionyeshe kuwa mwanaume,
1 Chronicles 28:10Angalia basi, kwa maana Bwana amekuchagua wewe ili ujenge Hekalu kuwa mahali patakatifu. Uwe hodari ukafanye kazi hiyo.”
Isaiah 35:4waambieni wale wenye mioyo ya hofu, 2 “Kuweni hodari, msiogope; 1 tazama, Mungu wenu atakuja, 2 pamoja na malipo ya Mungu, 2 atakuja na kuwaokoa ninyi.” 1
Daniel 11:32Kwa udanganyifu atapotosha wale walionajisi agano, lakini watu wanaomjua Mungu wao watampinga kwa uthabiti.