bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 16 › 1 Wakorintho 16:2
1 Wakorintho 16:2
Kila Jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya mapato yake, ili kusiwe na haja ya kufanya mchango wakati nitakapokuja.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Upon the first day of the week let every one of you lay by him in store, as God hath prospered him, that there be no gatherings when I come.
In Context
1Sasa, yahusu ule mchango kwa ajili ya watu wa Mungu: fanyeni kama nilivyoyaagiza makanisa ya Galatia.
3Wakati nitakapokuja kwenu, nitawatuma wale mtakaowachagua miongoni mwenu wapeleke barua na zawadi zenu Yerusalemu.
Read all of 1 Wakorintho 16
Cross References
Mark 12:41Yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. Akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika hazina ya Hekalu. Matajiri wengi walitoa fedha nyingi.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 16:2