1 Wakorintho 16:20
Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
All the brethren greet you. Greet ye one another with an holy kiss.
In Context
21Mimi Paulo nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe.
Cross References
Romans 16:21Timotheo, mfanyakazi mwenzangu, anawasalimu. Hali kadhalika Lukio, Yasoni, na Sosipatro, wananchi wenzangu, wanawasalimu.
2 Corinthians 13:12Salimianeni kwa ishara ya upendo.
1 Thessalonians 5:26Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.
Hebrews 13:24Wasalimieni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.