1 Wakorintho 16:22
Yeyote asiyempenda Bwana, na alaaniwe. MARANA THA—BWANA, njoo!
Biblia Takatifu
In The King James Version
If any man love not the Lord Jesus Christ, let him be Anathema Maranatha.
In Context
21Mimi Paulo nawasalimuni, nikiandika kwa mkono wangu mwenyewe.
23Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi.
Cross References
Matthew 10:37“Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Matthew 25:45Naye atawajibu, Nawaambieni kweli, kila mlipokataa kumtendea mambo haya mmojawapo wa hawa wadogo, mlikataa kunitendea mimi.
John 14:15“Mkinipenda mtazishika amri zangu.
John 14:23Yesu akamjibu, “Mtu akinipenda atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kukaa naye.