1 Wakorintho 16:5
Nitakuja kwenu, baada ya kupitia Makedonia—maana nataraji kupitia Makedonia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now I will come unto you, when I shall pass through Macedonia: for I do pass through Macedonia.
In Context
4Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.
Cross References
Acts 19:21Baada ya mambo hayo, Paulo aliamua kwenda Yerusalemu kwa kupitia Makedonia na Akaya. Alisema, “Baada ya kufika huko, itanilazimu kuona Roma pia.”
1 Corinthians 4:19Lakini, Bwana akipenda, nitakuja kwenu upesi; na hapo ndipo nitakapojionea mwenyewe, sio tu kile wanachoweza kusema hao wenye majivuno, bali pia kila wanachoweza kufanya.