1 Wakorintho 16:8
Lakini nitabaki hapa Efeso mpaka siku ya Pentekoste.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But I will tarry at Ephesus until Pentecost.
In Context
9Mlango uko wazi kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi.
Cross References
Acts 2:1Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika pamoja.
1 Corinthians 15:32Kama kusudi langu lingalikuwa la kibinadamu tu, kule kupigana kwangu na wanyama wakali hapa Efeso kungalinifaa kitu gani? Kama wafu hawafufuki, basi, “Tule na tunywe, maana kesho tutakufa.”