bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 3 › 1 Wakorintho 3:18
1 Wakorintho 3:18
Msijidanganye! Mtu yeyote miongoni mwenu akijidhania mwenye hekima mtindo wa kidunia, heri awe mjinga kusudi apate kuwa na hekima ya kweli.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Let no man deceive himself. If any man among you seemeth to be wise in this world, let him become a fool, that he may be wise.
In Context
17Basi, mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu; maana hekalu la Mungu ni takatifu, na hekalu hilo ni ninyi wenyewe.
19Maana, hekima ya kidunia ni upumbavu mbele ya Mungu. Kwani Maandiko Matakatifu yasema: “Mungu huwanasa wenye hekima katika ujanja wao.”
Read all of 1 Wakorintho 3
Cross References
Matthew 18:4Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.
Luke 18:17Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika Ufalme huo.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 3:18