1 Wakorintho 3:20
Na tena: “Bwana ajua kwamba mawazo ya wenye hekima hayafai.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And again, The Lord knoweth the thoughts of the wise, that they are vain.
In Context
21Basi, mtu asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.
Cross References
Colossians 2:8Angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si Kristo mwenyewe!