bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 4 › 1 Wakorintho 4:3
1 Wakorintho 4:3
Kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au na mahakama ya kibinadamu; wala sijihukumu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But with me it is a very small thing that I should be judged of you, or of man’s judgment: yea, I judge not mine own self.
In Context
2Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.
4Dhamiri yangu hainishtaki kwa jambo lolote, lakini hiyo haionyeshi kwamba sina lawama. Bwana ndiye anayenihukumu.
Read all of 1 Wakorintho 4
Cross References
1 Corinthians 2:15Lakini mtu aliye na huyo Roho anaweza kubainisha ubora wa kila kitu, naye mwenyewe hahukumiwi na mtu mwingine.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 4:3