1 Wakorintho 4:5
Basi, msihukumu kabla ya wakati wake acheni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonyesha wazi nia za mioyo ya watu. Ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 7:1“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu;
Matthew 24:46Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo.
Matthew 25:23Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.
Luke 12:1Wakati watu kwa maelfu walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, Yesu aliwaambia kwanza wanafunzi wake, “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.