1 Wakorintho 4:9
Nafikiri Mungu ametufanya sisi mitume tuwe watu wa mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kuuawa, maana tumekuwa tamasha mbele ya ulimwengu wote, mbele ya malaika na watu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Acts 19:31Maofisa wengine wa huo mkoa wa Asia, waliokuwa rafiki zake, walimtumia Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.
1 Corinthians 15:30Na sisi, ya nini kujitia hatarini kila saa?
2 Corinthians 4:8Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;
1 Thessalonians 5:9Maana Mungu hakututeua ili tuangamizwe na ghadhabu yake, bali tuupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo,