1 Wakorintho 5:6
Majivuno yenu hayafai! Je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?
Biblia Takatifu
In The King James Version
Your glorying is not good. Know ye not that a little leaven leaveneth the whole lump?
In Context
Cross References
Matthew 13:33Yesu akawaambia mfano mwingine: “Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyotwaa mama mmoja, akaichanganya na unga pishi tatu, hata unga wote ukaumuka.”
Luke 13:21Ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja na unga debe moja kisha unga wote ukaumuka wote.”
1 Corinthians 4:18Baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu.
1 Corinthians 15:33Msidanganyike! Urafiki mbaya huharibu tabia njema.
2 Timothy 2:17Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.