1 Wakorintho 5:9
Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I wrote unto you in an epistle not to company with fornicators:
In Context
Cross References
1 Corinthians 5:7Jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu kama mnavyopaswa kuwa; maana, Kristo, Pasaka yetu, amekwisha tolewa tambiko.
2 Corinthians 6:17Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao, msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.
2 Thessalonians 3:6Ndugu, tunawaamuru kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mjiepushe na ndugu wote walio wavivu na ambao hawafuati maagizo tuliyowapa.