1 Wakorintho 6:17
Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But he that is joined unto the Lord is one spirit.
In Context
Cross References
John 3:6Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho.
1 Corinthians 12:13Maana sisi, tukiwa Wayahudi au watu wa mataifa mengine, watumwa au watu huru, sote tumebatizwa kwa Roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote tukanyweshwa Roho huyo mmoja.
Ephesians 4:3Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.