1 Wakorintho 6:8
Lakini, badala yake, ninyi ndio mnaodhulumu na kunyang'anya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu!
Biblia Takatifu
In The King James Version
Nay, ye do wrong, and defraud, and that your brethren.
In Context
Cross References
Colossians 3:25Atendaye mabaya atalipwa kufuatana na ubaya wake; Mungu hana ubaguzi.
James 5:4Hamkuwalipa mishahara watumishi waliofanya kazi katika mashamba yenu. Sikilizeni malalamiko yao! Kilio cha hao wanaovuna mashamba yenu kimefika masikioni mwa Bwana, Mwenye Nguvu.