bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 7 › 1 Wakorintho 7:11
1 Wakorintho 7:11
lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye asimpe talaka mkewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But and if she depart, let her remain unmarried, or be reconciled to her husband: and let not the husband put away his wife.
In Context
10Kwa wale waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane na mumewe;
12Kwa wale wengine, (mimi binafsi, si Bwana) nasema hivi: Ikiwa mwanamume Mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.
Read all of 1 Wakorintho 7
Cross References
Mark 10:2Basi, Mafarisayo wakamwendea, na kwa kumjaribu wakamwuliza, “Je, ni halali mtu kumpa talaka mkewe?”
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 7:11