bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 7 › 1 Wakorintho 7:13
1 Wakorintho 7:13
Naye mwanamke aaminiye kama ameolewa na mwanaume asiyeamini na huyo mume anakubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimwache.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the woman which hath an husband that believeth not, and if he be pleased to dwell with her, let her not leave him.
In Context
12Lakini kwa wengine nasema (si Bwana ila ni mimi): Kama ndugu ana mke asiyeamini, naye huyo mke anakubali kuishi pamoja naye, basi asimwache.
14Kwa maana huyo mume asiyeamini anatakaswa kupitia mkewe, naye mke asiyeamini anatakaswa kupitia mumewe anayeamini. Kama isingalikuwa hivyo watoto wenu wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakatifu.
Read all of 1 Wakorintho 7
Cross References
Mark 10:12Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” 1 Yesu Anawabariki Watoto Wadogo (Mathayo 19:13-15; Luka 18:15-17)
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 7:13