1 Wakorintho 7:2
lakini kwa sababu ya hatari ya uzinzi, basi, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
1Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;
3Mume atimize wajibu alio nao kwa mkewe, naye mke atimize wajibu alio nao kwa mumewe.
Cross References
1 Corinthians 6:18Jiepusheni kabisa na uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.
Ephesians 5:28Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe.
1 Timothy 4:3Watu hao hufundisha kwamba ni makosa kuona na pia kula vyakula fulani. Lakini Mungu aliviumba vyakula hivyo, ili wale walio waumini na ambao wanapata kuujua ukweli, wavitumie kwa shukrani.