1 Wakorintho 7:26
Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.
Cross References
Matthew 24:19Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo!
Luke 23:28Yesu akawageukia, akasema, “Enyi kina mama wa Yerusalemu! Msinililie mimi, ila lieni kwa ajili yenu wenyewe na kwa ajili ya watoto wenu.
1 Corinthians 7:8Basi, wale ambao hawajaoana na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.
1 Corinthians 7:35Nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa kuwawekeeni kizuio. Nataka tu muwe na mpango unaofaa, mpate kumtumikia Bwana kwa moyo na nia moja.