1 Wakorintho 7:27
Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Art thou bound unto a wife? seek not to be loosed. Art thou loosed from a wife? seek not a wife.
In Context
26Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Cross References
1 Corinthians 7:12Kwa wale wengine, (mimi binafsi, si Bwana) nasema hivi: Ikiwa mwanamume Mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.