1 Wakorintho 7:28
Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate ninyi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.
Cross References
1 Corinthians 7:26Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
2 Corinthians 1:23Mungu ndiye shahidi wangu—yeye anajua moyo wangu! Mimi sikuja tena Korintho, kwa sababu tu ya kuwahurumieni.