1 Wakorintho 7:33
Mtu aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,
Biblia Takatifu
In The King James Version
But he that is married careth for the things that are of the world, how he may please his wife.
In Context
Cross References
Luke 14:20Na mwingine akasema: Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.
Ephesians 5:25Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.
1 Thessalonians 4:11Muwe na nia ya kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo yake mwenyewe na afanye kazi kwa mikono yake mwenyewe kama tulivyowaagiza pale awali.
1 Peter 3:7Kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni Mungu. Hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.