bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 7 › 1 Wakorintho 7:38
1 Wakorintho 7:38
Kwa maneno mengine: yule anayeamua kumwoa huyo mchumba wake anafanya vema; naye anayeamua kutomwoa anafanya vema zaidi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
So then he that giveth her in marriage doeth well; but he that giveth her not in marriage doeth better.
In Context
37Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
39Mwanamke huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.
Read all of 1 Wakorintho 7
Cross References
1 Corinthians 7:1Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;
1 Corinthians 7:26Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
1 Corinthians 7:37Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 7:38