bible.software › 1 Wakorintho › 1 Wakorintho 7 › 1 Wakorintho 7:4
1 Wakorintho 7:4
Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mumewe anayo; hali kadhalika naye mume, hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mkewe anayo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
The wife hath not power of her own body, but the husband: and likewise also the husband hath not power of his own body, but the wife.
In Context
3Mume atimize wajibu alio nao kwa mkewe, naye mke atimize wajibu alio nao kwa mumewe.
5Msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu, ili mpate nafasi nzuri ya kusali. Kisha rudianeni tena mara, ili Shetani asije akawajaribu kwa sababu ya udhaifu wenu.
Read all of 1 Wakorintho 7
Cross References
Matthew 19:9Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Wakorintho 7:4