1 Wakorintho 7:8
Basi, wale ambao hawajaoana na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I say therefore to the unmarried and widows, It is good for them if they abide even as I.
In Context
9Hata hivyo, kama mtu hawezi kujizuia basi, na aoe; maana ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Cross References
1 Corinthians 7:1Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: naam, ni vizuri kama mtu haoi;
1 Corinthians 7:26Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
1 Corinthians 7:34naye amegawanyika. Mwanamke asiyeolewa au bikira hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Lakini mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii jinsi atakavyompendeza mumewe.