1 Wakorintho 8:2
Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And if any man think that he knoweth any thing, he knoweth nothing yet as he ought to know.
In Context
3Lakini anayempenda Mungu huyo anajulikana naye.
Cross References
Romans 11:25Ndugu zangu, napenda mjue ukweli huu uliofichika msije mkajiona wenye akili sana. Ukaidi wa Wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka watu wa mataifa mengine watakapokuwa wamemfikia Mungu.
1 Corinthians 13:8Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.
Galatians 6:3Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.
1 Timothy 6:3Mtu yeyote anayefundisha kinyume cha mambo haya, na ambaye hakubaliani na maneno ya kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo na mafundisho ya dini,