1 Wakorintho 9:11
Ikiwa sisi tumepanda mbegu ya kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu faida ya kidunia?
Biblia Takatifu
In The King James Version
If we have sown unto you spiritual things, is it a great thing if we shall reap your carnal things?
In Context
Cross References
Matthew 10:10Msichukue mkoba wa kuombea njiani, wala koti la ziada, wala viatu, wala fimbo. Maana mfanyakazi anastahili riziki yake.
2 Corinthians 11:15Kwa hiyo si jambo la kushangaza ikiwa na hao watumishi wake wanajisingizia kuwa watumishi wa haki. Mwisho wao watapata kile wanachostahili kufuatana na matendo yao.