1 Wakorintho 9:4
Je, hatuna haki ya kula na kunywa?
Biblia Takatifu
In The King James Version
Have we not power to eat and to drink?
In Context
3Hoja yangu kwa wale wanaonipinga ndiyo hii:
Cross References
Luke 10:7Kaeni katika nyumba hiyo mkila na kunywa wanavyowapeni, maana mfanyakazi anastahili mshahara wake. Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile.
Galatians 6:6Mwenye kufundishwa neno la Mungu na amshirikishe mwalimu wake riziki zake.
1 Thessalonians 2:9Ndugu, mnakumbuka jinsi tulivyofanya kazi na kutaabika. Tulipowaleteeni Habari Njema ya Mungu tulifanya kazi mchana na usiku kusudi tusiwe mzigo kwa mtu yeyote miongoni mwenu.
1 Timothy 5:17Wazee wanaowaongoza watu vizuri wanastahili kupata riziki maradufu, hasa wale wanaofanya bidii katika kuhubiri na kufundisha.