1 John 1:8
Kama tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe wala kweli haimo ndani yetu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If we say that we have no sin, we deceive ourselves, and the truth is not in us.
In Context
Cross References
Leviticus 13:12“Ikiwa ugonjwa utakuwa umeenea kwenye ngozi yake yote kwa kadiri kuhani atakavyoweza kuona, kwamba umeenea kwenye ngozi yote ya huyo mgonjwa kutoka kichwani mpaka wayo,
2 Kings 20:15Nabii akauliza, “Waliona nini katika jumba lako la kifalme?” Hezekia akajibu, “Waliona kila kitu katika jumba langu la kifalme. Hakuna kitu chochote katika hazina yangu ambacho sikuwaonyesha.”
Job 9:2“Naam, najua hili ni kweli. 2 Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 1
Job 15:14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, 2 au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu? 1
Psalms 143:2Usimhukumu mtumishi wako, 2 kwa kuwa hakuna mtu anayeishi aliye mwenye haki mbele zako. 1
Ecclesiastes 7:20Hakuna mtu mwenye haki duniani 2 ambaye hufanya mambo ya haki 2 na kamwe asitende dhambi. 1