1 John 3:1
Tazameni ni pendo kuu namna gani alilotupa Baba, kwamba sisi tuitwe wana wa Mungu! Na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 31:19Tazama jinsi ulivyo mkuu wema wako, 2 uliowawekea akiba wakuchao, 1 ambao huwapa wale wakukimbiliao 2 machoni pa watu. 1
Psalms 89:1Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele; 2 kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako 2 ujulikane kwa vizazi vyote. 1
Hosea 1:10“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’
John 3:16“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
John 16:3Nao watawatenda haya kwa sababu hawamjui Baba wala mimi.
Romans 5:8Lakini Mungu anaudhihirisha upendo wake kwetu kwamba: Tulipokuwa tungali wenye dhambi, Kristo alikufa kwa ajili yetu.